Posts

Showing posts from October 11, 2019

Mambo sita usiyoyajua kuhusu malkia Elizabeth wa uingereza

Image
Malkia Elizabeth II ndiye mtawala katika koo ya kifalme aliyetawala kwa muda mrefu zaidi Barani Uingereza, ambaye alipokea kijiti cha uongozi kutoka kwa babayake Mfalme George vi, mwaka 1952.   Alizaliwa April 21, 1926, hadi sasa ni wapili kwa viongozi walio na umri mkubwa zaidi duniani ambao bado wapo madarakani.   Malkia Elizabeth II amekuwa akiigizwa katika filamu mbalimbali, moja ya filamu maarufu ni The Crown, ambayo Olivia Colman amevaa uhusika wa malkia, swali zuri la kujiuliza ni kwakiasi gani unamfaham Malkia huyu?, hizi ndio sifa sita za malkia ambazo watuwengi bado hawajazifahamu au wamesha zisahau.   i) Hakutarajiwa kuwa Malkia   Licha ya kuwa na desturi kwamba kila mtoto anayezaliwa katika familia ya kifalme ana nafasi yakuwa kiongozi yani kuwa malkia au Mflme, kuna utaratibu wakurithishana ambao hufuatwa na baadhi ya watoto katika mafilia tofauti za ufalme mmoja hujua kabisa kama nafasi haziwezi kuwadondokea.   Ndivyo ilivyokuwa kwa Elizabeth ...