BASI LA KAMPUNI YA HOOD LAPATA AJALI

BreakingNews Basi la kampuni ya Hood lenye namba T 779 AVL lililokuwa likitokea mkoani Arusha kuelekea Mbeya limepata ajali katika kijiji cha Uchira wilayani Moshi. Ajali hiyo imetokea majira ya saa 1:30 asubuhi na abiria wote wako salama.