UWANJA MPYA WA KLABU YA EVERTON

Uongozi wa klabu ya everton timu inayoshiriki ligi kuu nchini uingereza umetangaza kuanza ujenzi wa uwanja mpya. Uwanja huo wa kisasa utaanza ujenzi rasmi mwakani 2020 na u akadiriwa kua na uwezo wa kubeba mashabiki zaidi ya 53000. Uwanja huo wa kisasa unatarajia kujengwa ufukweni katika mji wa mersey na unatarijia kuanzia kutuma msimu wa 2023/2024.