Posts

Showing posts from August 2, 2019

JEZI MPYA ZA TIMU YA YANGA

Image
Huu ndio muonekano wa jezi mpya za klabu ya Yanga, Klabu ya wanachi . Jezi hizi zimezinduliwa siku ya leo kwenye hagla iliyofanyika hoteli ya serena jijini Dar es salaam na zinapatikana kwa bei ya 35,000.

MUONEKANO WA JEZI MPYA ZA YANGA