Posts

Showing posts from October 28, 2019

Security Officer Shot and Killed with his Firearm in Tongaat

Image
59 Year old Dan Pillay has died in hospital after he was shot in the chest by two men that robbed him of his firearm on Walter Reid Road in Maidstone, Tongaat. Pillay was a manager at Jikelele Security which is based in Tongaat. He was visiting a client’s premises when he was accosted by two suspects as he alighted from his vehicle. Without warning one of the suspects shot Pillay in the chest and robbed him of his 9mm Browning pistol and fled on foot in an unknown direction. The incident was witnessed by bystanders and Pillay’s security guards who he was visiting when the incident occured. Reaction Unit South Africa received a call for assistance from the director of the security company that Pillay was employed at. On arrival the critically injured victim was being treated by Paramedics for a gunshot wound to his chest. He was stabilized on scene before being airlifted to hospital where he later succumb to his injuries. Reaction Officers conducted an extensive search for...

EFF Dismisses Factionalism Claims

Image
The Economic Freedom Fighters (EFF) has disputed reports that there are factions within the party. The leadership of the party was conducting a site visit to Nasrec, south of Johannesburg, on Monday, where the party’s second elective conference will take place in December. Weekend reports claim a decision seems to have been made by party leader Julius Malema to remove National Chairperson Dali Mpofu ahead of the conference. However, another faction has put forward a list where Mpofu has been named as Chairperson. Malema says that every position in the EFF will be contested. Mpofu would not be drawn into confirming his availability should he be nominated for the leadership position from the floor during the conference. ā€œThis organisation will never be factionalised. So all those in the media that are trying to factionalise this organisation are going to fail because we have no time for factions; we have time for contestation…Contestation must never be confused with...

Former president of kenya Daniel Moi admitted in hospital in critical condition

Image
Former President Daniel Arap Moi and his family need your prayers. This is after he was taken to The Nairobi Hospital for the second time in two weeks for a routine exam. Doctors in the hospital have told the Star that the 95-year-old former head of state was rushed to the hospital on Thursday last week from his Kabarnet Gardens home, Nairobi.

Msimamo wa ligi kuu bara baada ya mechi za jana

Image
Mechi za mzungukuko wa nane wa ligi zimechezwa siku ya jana na huu ndio msimamo wa ligi kuu Tanzania bara baada ya mechi hizo

Harmonize awakera waandishi wa habari nchini kenya

Image
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize amejikuta akiingia kwenye lawama na waandishi wa habari nchini Kenya baada ya kuwachelewesha na kukataa kujibu maswali kwenye mkutano wake na wanahabari.   Imeelezwa kuwa mkutano huo na waandishi wa habari ulipangwa ufanyike saa 5:00 asubuhi lakini ukabadilishwa ratiba mara mbili kuwa ungefanyika saa 9:00 alasiri na baadae ukatajwa tena kufanyika saa 1:00 usiku katika jengo la Kenrail Towers.   Licha kuchelewa kuanza kwa mkutano huo, Waandishi wa Habari nchini humo wamesema kuwa aliongea kwa dakika zisizopungua 3 na kisha kukataa kujibu maswali yanayohusu lebo yake ya zamani ya WCB.   Waandishi wamesema awali kabla ya mkutano huo, Waliambiwa na waandaji wa tukio hilo kuwa kutakuwa na mahojiano ya mmoja mmoja baada ya kumalizika kwa mkutano huo lakini haikufanyika hivyo.   Mwanamuziki huyo alifika katika ukumbi huo wa mkutano na wanahabari akiwa ameongozana na walinzi wake wanne na baadhi ya waandaaji wa mkutano huo. ...

Muda wa kufanya mapenzi ni dakika 13 tu....muda zaidi unajiua

Image
Ujumbe huu ni mahususi kwa Wanandoa, utafiti uliofanywa na wataalamu kutoka nchini Marekani na Canada umeeleza kuwa dakika 13 ni sawa kwa tendo hilo - Utafiti huo uliofanywa mwaka 2008 umeeleza kuwa mwanaume anaweza kufanya tendo hilo kwa umakini na usahihi kwa dakika 5 hadi 13 Taarifa hiyo inaeleza kuwa kuzidishwa kwa dakika hizo si kawaida na kunaweza kusababisha kifo kwa Mwanaume au Mwanamke wakati wa tendo - Wataalamu hao wameongeza kuwa vijana wengi wanafariki mapema kwa kutumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume na hamasa ya mapenzi, dawa hizo ni hatari kwa afya

Kiongozi wa islamic state auawa na vikosi vya marekani

Image
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuuawa kwa kiongozi mkimbizi wa wapiganaji wa Islamic State (IS) kaskazini magharibi mwa Syria, Trump amesema Abu Bakr al-Baghdad alijilipua wakati alipozingirwa na kikosi maalum cha Marekani.   Amesema kuwa amekufa kama Mtu muoga na kama Mbwa. Abu Bakr al Baghdad hakuonekana hadharani tangu mwaka 2014.   Amejiua kwa mabomu aliyokuwa ameyavaa mwilini mwake. Washirika wake kadhaa pia wameuawa katika shambulio hilo lililofanywa na vikosi vya Marekani   Amemtangaza Baghdad kama msumbufu na kiongozi wa Kundi la Kigadi aliyekuwa akisakwa zaidi kwa sasa Ulimwenguni.

Ommy dimpoz ashinda tuzo ya msanii bora kutoka Afrika mashariki tuzo za Afrimma

Image
Msanii Ommy Dimpoz amefanikiwa kunyakua tuzo ya msanii bora kiume kutoka Afrika Mashariki, Best Male East Africa kwenye tuzo za Afrimma zilizotolewa Dallas Texas, Marekani usiku wa jana.   Dimpoz amefanikiwa kuwamwaga Alikiba, Nyanshinki, Jux, Harmonize na wengine waliokuwa wanawania kwenye kinyang'anyiro hicho.