Posts

Showing posts from August 18, 2019

Lil tecca ft Juice wrld Ransom remix

Image
Lil tecca brings you new remix of his bilboard top ten hit Ransom  featuring juice world. Click the link below to watch it https://youtu.be/-thh5_bpGGY

DA BABAY FT LIL BABY NEW MUSIC VIDEO

Image
Da baby brings you new music jam titled "Baby" featuring the grammy winner lil baby. Click the following link to the video https://youtu.be/0GbwYFqN1iE

NORMANI - MOTIVATION NEW MUSIC VIDEO

Image
Click the following link to watch Normani motivation video https://youtu.be/FKXSh14svlQ

IRENE UWOYA AONYESHA TATOO YA KWENYE PAJA

Image
Picha ya irene uwoya aliyopost kwenye mtandao wa instagram ikiwa inaonyesha tatoo aliyochora chini ya paja la mguu wa kushoto. Picha hii imezua gumzo sana kwenye mtandao huo wa kijamii.

PRESIDENT EDGA LUNGU LEADS BUSSINESS AND PLOLITCS SUMMIT IN DAR ES SALAAM

Rais wa Zambia Mh. Edgar Changwa Lungu,ambaye ni  Mwenyekiti wa Taasisi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (SADC Troika) pichani kati akiongoza kikao cha ulinzi na usalama kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika – SADC (SADC) kilichofanyika  jana jioni  kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo kwa nchi za Kusini mwa Afrika – SADC, Dkt Stergomena Tax.   Rais wa Angola Mh. Joao Lourenco Mwenyekiti wa Taasisi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (SADC Troika) anayemaliza muda wake akiwa katika kikao hicho kilichofanyika jana jioni kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.   Rais wa Zimbabwe Mh. Emmerson Dambudzo Mnangagwa anayechukua nafasi ya Uenyekiti wa Taasisi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (SADC Troika) akipitia baadhi ya nyaraka za kikao hicho kilichofanyika jana  jioni kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar...

WEMA SEPETU AFUNGUKA TATIZO LA UZAZI KUTIBIKA

Amesema shida ya kutopata mtoto ilichangiwa kuwa na matatio katika mfumo wa uzazi kitu kilichopelekea kushindwa kubeba ujauzito.   Wema amesema kwa sasa tatizo hilo limeshatibiwa hivyo chochote kinaweza kuhapeni. Mshindi huyo wa tuzo ya ulimbwende mwaka 2006, amesema kwa sasa amekuwa, hivyo ameacha kufanya mambo yatakayoichafua heshima yake,huku akidai yupo anapiga dili kwa kuwa balozi kwenye kampuni za ndani na nje ya nchi na anaimani michongo mingi itaendelea kumiminika.

WASANII WATANZANIA TUZO ZA AFRIMMA 2019

MSIMU wa sita wa tuzo kubwa za muziki Afrika zenye ushirikiano na Umoja wa Mataifa ya Afrika (AU), All Africa Music Awards (AFRIMA 2019), umewadia na majina ya wasanii wanaowania vipengele mbalimbali yametajwa.   Katika tuzo hizo zinazotarajiwa kutolewa Novemba mwaka huu, Tanzania imeendelea kufanya vizuri kwa kutoa wasanii Diamond Platnumz, Vanessa Mdee, Rayvanny, Harmonize, Maua Sama, Queen Darling, Rosa Ree, Nandy na Mbosso.   Akizungumzia tuzo hizo, Mbosso alisema: ā€œKuingia kwenye tuzo hizi ni jambo kubwa kwa sababu ni tuzo zenye heshima.ā€

FINAL TRAILER FOR JUMANJI NEXT LEVEL 2019

Image
The following link will take you direct the final trailer for Jumanji next level that is schedued to be released at the end of this year. Click the link below to watch the full trailer https://youtu.be/rBxcF-r9Ibs JUMANJI NEXT LEVEL FINAL TRAILER

US DEMOCRATIC GOVERNOR BANNED TO ENTER AFGANISTHAN

Mbunge wa Baraza la Wawakilishi nchini Marekani, Rashida Tlaib amepewa sharti zito kutembelea Palestina baada ya waziri wa mambo ya nje wa Israel kutangaza zuio la wabunge wawili wa chama cha Democratic kufanya ziara nchini Israel pamoja na Palestina.   Sharti hilo limetangazwa masaa machache baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Israel kusema kuwa itamruhusu mbunge mmoja kuzuru Palestina kumuona bibi yake kwa sababu za kibinadamu.   Katika ujumbe wa kijamii Ijumaa asubuhi, Tlaib aliandika hatua hiyo ingemuumiza sana kama angezuiwa hata kumuona bibi yake.   ā€œUamuzi huu unatokana na kuzingatia kuwa kumtembelea bibi yangu chini ya hali hizi kandamizi ni kinyume cha kile ambacho nina imani nacho, vita dhidi ubaguzi, ukandamizaji na dhulma,ā€ aliandika Tlaib katika barua aliyoituma kwa waziri wa mambo ya ndani wa Israeli, Aryeh Deri akiomba kuruhusiwa kumuona bibi yake  

LIKIZO MARUFUKU KWA WAFANYAKAZI WA UMMA - RC LINDI

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi amepiga marufuku watumishi wa Serikali kwenda likizo kwa muda wa miezi mitatu, ili kusimamia miradi ya Maendeleo na vitambulisho vya wajasiriamali kwenye maeneo yao, na maandalizi ya mapokezi na uzimaji wa Mwenge wa Uhuru.   Ameweka zuio hilo alipokuwa anazungumza katika kikao kazi na watumishi mbalimbali, wakiwemo Ma Ofisa Tarafa na watendaji Kata wa Halmashauri za Wilaya na Manispaa ya Lindi kilichofanyika uwanja wa Ilulu mjini humo.   Amesema kuwa amechukua uamuzi huo kufuatia Shughuli nyingi inazoukabiri Mkoa huo kwa mwaka huu, kama vile uzimaji mwenge wa Uhuru utakaohitimisha mbio zake na kumbukizi za kifo cha hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere Oktoba 14 mwaka huu na haraiki ya vijana.  

MBWANA SAMATTA AKICHAFUA UBELGIJI

Club ya KRC Genk ya Ubelgiji inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta, baada ya kuanza na msimu mbaya katika Ligi Kuu ya nchini humo.kwa kupoteza michezo miwili leo imeanza kwa kishindo.   Genk iliyokuwa imepoteza michezo yake miwili kati ya minne niliyocheza, leo imeibuka na ushindi.mnono dhidi ya Waasaland Beveren kwa ushindi wa magoli 4-0.   Ushindi huo wa Genk ulichagizwa na hat trick ya Mbwana Samatta aliyefunga magoli matatu dakika ya 53, 66 na 86, hiyo baada ya Paintsi

DIAMOND AFUNGUKA HARMONIZE KUONDOKA WCB

Image
Dar es Salaam. Kuna ukweli wowote kuhusu habari zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa msanii Harmonize amejiengua katika lebo ya Wasafi inayoongozwa na Diamond Platnumz.   Hakuna anayejua hilo lakini kuna baadhi ya kauli  zilizotolewa na Diamond mwenyewe na mmoja wa mameneja wake zinaweza kutoa picha ingawa hakuna kati yao aliyethibitisha kuwa Harmonize ameachana na lebo hiyo.    ā€œKama Harmonize anataka kuondoka aondoke,ā€ alinukuliwa akisema Diamond na baadaye kauli hiyo kuungwa mkono na mmoja wa  mameneja wa Wasafi, Said Fella, ā€œKama akiamua kuondoka hakuna wa kumzuia.ā€ Huo ni mwanzo wa kile kinachodaiwa Harmonize anaweza kujitoa kwenye lebo ya Wasafi.   Lakini mara kadhaa Harmonize amekuwa akijibu kuhusu tetesi hizo, ā€œSiwezi kuondoka Wasafi kwani namchukulia  Diamond kama baba yangu ndio aliyenilea kimuziki.ā€   Tayari Harmonize anamiliki lebo ya muziki ya Konde Gang ambayo inafanya kazi zake kama ilivyo Wasafi.

TAIRONE SANTOS WA SIMBA AANZA KUJIFUNZA KISWAHILI

Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa beki mpya wa timu hiyo, Mbrazili, Tairone Santos Da Silva ameanza kujifunza Lugha ya Kiswahili na nyingine wanazotumia wachezaji wenzake.   Hivi karibuni Aussems aliliambia gazeti hili kuwa Da Silva anasumbuliwa na tatizo la mawasiliano kwani hawezi kuzungumza na wachezaji wenzake kwa sababu hajui Kiswahili, Kingereza wala Kifaransa.   Santos ambaye amejiunga na Simba hivi karibuni anajua kuongea Lugha ya Kireno pekee ambayo mabeki wenzake wa kikosini humo hawaijui.  

KIKOSI CHA YANGA SIKU YA LEO

Kikosi cha Yanga kitakachoanza leo ddhidi ya FC Leopards mchezo wa kirafiki   1. Metacha Mnata   2. Paul Godfery   3. Ally Mtoni   4. Kelvin Yondani   5. Lamine Moro   6. Papy Tshishimbi   7. Balama Mapinduzi   8. Mohamed Issa   9. Juma Balinya   10. Sidney Uhoetage   11. Patrick Sibomana   Akiba   Kabwili,  Mwalami, Cleofasi, Said, Feisal, Ngassa, Molinga, Jaffary, Bigirimana