Posts

Showing posts from July 27, 2019

DORTMUND WAIFUNGA UDINESE GOLI 4 KWA 1 MECHI YA KIRAFIKI

Image
Mechi ya kirafiki kati ya Borrusia dortmund ba udinese umemalizika kwa Dortmund magoli 4 kwa 1 dhidi ya udinese

REAL MADRID AFUNGWA 7 NA ATLETICO MADRID

Image
Jana kulikua na mechi ya kirafiki kati ya Atletico madrid na Real Madrid anbapo mchezo ulimalizika kwa Real Madrid 3-7 Atletico madrid. Wafungaji wa Atletico madrid ni Diego costa 1' 28' 45'51' Joe felix 8' na Correa 19' na Vitolo 70' na Magoli ya Real Madrid yalifungwa na Nacho 59' na Benzema 85' 89'.