Posts

Showing posts from July 28, 2019

MAGAZETI YA LEO JUMATATU 29/7/2019

Image

MBOSSO AMJIBU MWIJAKU KWA KEJELI

Image
Kutoa Lebo ya WCB Msanii Mbosso ameamua kumlipua Mwijaku kwa kusema kuwa kwenye maisha yake haogopi mwanaume mwenye kipara. Maneno hayo yamekuja baada ya Mbosso kusema kuwa sasa hivi ameacha kupost vitu vyake vya kimaendeleo kwa sababu akipost kuna watu wanadandia na kuanza kuongea wasiyoyajua.  Alipoulizwa na Mwandishi wa habari kwahiyo umeacha kupost sababu ya Mwijaku', Mbosso alijibu "Siwezi kumuogopa mwanaume mwenye kipara maishani mwangu" www.bongofacts.com

BUS LA KAMPUNI YA KISBO LAPATA AJALI

Image
AJALI YA BASI: Basi la kampuni ya Kisbo, linalofanya safari zake kutoka Tabora kwenda Dar-es-salaam kupitia barabara ya Itigi ambayo ipo kwenye matengenezo, limeanguka asubuhi majira ya saa mbili eneo la Kijiji cha Tura.  Taarifa za awali kutoka eneo la tukio zinadai hakuna aliyepoteza maisha.