DIAMOND NA TANASHA KUWEKA SIRI MAHUSIANO YAO
Mpenzi mpya wa Diamond Platinumz, Tanasha amefunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa wameamua kuweka siri mahusiano yake ya kimapenzi na Diamond Platinumz na si kama apo awali walivyokua wanajiachia kwenye mitandao ya kijamii.
Kauli ya Tanasha imekuja siku chache baada ya Diamond kutangaza tarehe ya kufunga ndoa na mrembo huyo kutoka Kenya.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanadada huyo ameandika haya:
Just to make things clear... D and I came to a mutual understanding that it may be too soon to be public with our relationship on social media right now. So we decided to keep our relationship private for the moment until we feel like going public again. May God bless you all .🙏❤️
Comments
Post a Comment