ARSENAL FC WAFANIKIWA KUMSAJILI BEKI WA ST.ETIEENE



Klabu ya Arsenal Fc wamefanikiwa kunasa saini ya beki wa kati kutoka klabu ya St.etiene lakini beki huyo atasalia klabuni st.etiene kwa mkopo wa mwaka mmoja

Comments