REAL MADRID AFUNGWA 7 NA ATLETICO MADRID



Jana kulikua na mechi ya kirafiki kati ya Atletico madrid na Real Madrid anbapo mchezo ulimalizika kwa Real Madrid 3-7 Atletico madrid.
Wafungaji wa Atletico madrid ni Diego costa 1' 28' 45'51' Joe felix 8' na Correa 19' na Vitolo 70' na Magoli ya Real Madrid yalifungwa na Nacho 59' na Benzema 85' 89'.

Comments