BASI LA KAMPUNI YA HOOD LAPATA AJALI


BreakingNews ‬ 
‪Basi la kampuni ya Hood lenye namba T 779 AVL lililokuwa likitokea mkoani Arusha kuelekea Mbeya limepata ajali katika kijiji cha Uchira wilayani Moshi.‬ 
‪Ajali hiyo imetokea majira ya saa 1:30 asubuhi na abiria wote wako salama.‬

Comments