JEZI MPYA ZA TIMU YA YANGA

Huu ndio muonekano wa jezi mpya za klabu ya Yanga, Klabu ya wanachi . Jezi hizi zimezinduliwa siku ya leo kwenye hagla iliyofanyika hoteli ya serena jijini Dar es salaam na zinapatikana kwa bei ya 35,000.






Comments