Mrembo Hamisa Mobetto atamani maisha ya ndoa
Hamisa Mobeto siku za nyuma aliwahi kusema Hana mpango wa kuolewa na kijana wa kitanzania Bali mipango yake ni kuolewa na mzungu
Awali alisema yeye anataka labda mwanaume mzungu au mtu mzima, awe alishawahi kuachwa au mgane kwa hiyo ndio hivyo, na kusema kijana kwake hapana.
Hamisa Anataka mtu wa kumuoa awe angalau miaka 45 kwa sababu yeye mwenyewe ana watoto sasa ukisema kijana yeye mwenyewe bado anakua atawezaje kulea watoto wake
Comments
Post a Comment