Nandy amkataa billnas "Sio mpenzi wangu"


Nandy atolea ufafanuzi juu ya ukaribu wake na Billnas “Mimi na Billnass hatujarudiana labda watu hawakutegemea kuona tunatoa kazi hivi karibuni, na labda video ilichangia lakini hatuna mahusiano na hata wakati tunarekodi video ya Bugana mpenzi wake alikuwepo location” Nandy XXL

Comments