Skip to main content
Rais Magufuli amteua rais mstaafu Mwinyi kua mkuu wa chuo MUHAS
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS).
Mhe. Mwinyi ameteuliwa kuendelea na wadhifa huo kuanzia leo September 25, 2019.
Comments
Post a Comment