Ratiba kamili ya michuano ya CAF champions league
Ratiba kamili ya michuano ya mashindano ya klabu bingwa Afrika imetoka, klabu ya yanga ikiwa imepangiwa kukipiga na zesco united ya zambia ambapo yanga wataanzia ugenini mzunguko wa kwanza na kumalizia nyumbani mzunguko wa pili.
Timu nyingine za hapa Tanzania zilizokua zikishiriki mashindano hayo simba,azam fc na kmc zilitolewa mapema kabisa kwenye hatua ya mtoano.
Comments
Post a Comment