Yanga wagoma kuweka nembo nyekundu kwenye jezi zao kutoka kwa mdhamini wa ligi



Timu ya yanga wamegoma kuweka nembo nyekundu kwenye jezi zao, nembo ambayo ni ya mdhamini wa ligi kuu Tanzania bara Vodacom.

Yanga imesema kua hawawezi kufanya hivyo kwasababu wana katibu ya timu na hairuhusu kuweka nembo au rangi nyekundu kwenye jezi zao. 

Tazama video 


Comments