Majina ya Wachezaji wanaowania Ballon D'or mwaka 2019

Majina ya wachezaji waliochaguliwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wa dunia ballon d'or kwa mwaka 2019, tuzo inayotolewa na shirikisho la soka duniani FIFA.





Tuzo hii ya ballon d'or hutolewa kila mwaka na Fifa kwa mchezaji mwenye mafanikio makubwa binafsi na timu kila baada ya msimu kuisha, amabpo msimu uliopita mwaka 2017/2018 tuzo hii ilichukuliwa na mshambuliaji Luka modric wa Real madrid kutoka uhispania.





Mwaka huu wachezaji waliopewa nafasi kubwa kuchukua tuzo hiyo ni mshambuliaji Lionel Messi wa Barcelona na beki Virgil Van Djik wa liverpool.

Comments