Jose Mourinho akataa dili la kuifundisha klabu ya Benfica ya nchini Ureno, kocha huyo ambaye alikuwa akiifundisha klabu ya Manchester United ya Uingereza kabla ya kufutwa kazi na klabu hiyo kwa kupata matokeo mabaya katika ligi kuu ya nchi hiyo.
Ikumbukwe kwasasa Mourinho hajapata timu ya kuifundisha tangia aondolewe Manchester United.
Comments
Post a Comment