Cristiano Ronaldo apata dili kubwa na kampuni ya Nike



Mchezaji Christiano Ronaldo ambaye ametwaa tuzo ya mwanasoka bora wa dunia mara tano, atapata dola za Kimarekani Milioni 139 katika mkataba wake na kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Nike. 

Ronaldo ambaye alijiunga na Juventus mwaka jana, akitokea Real Madrid, pia amekuwa na mkataba na kampuni kubwa ya nguo ya Marekani tangu mwaka 2004.

Comments