Paul Makonda akabidhi milioni 10 kwa golikipa Juma kaseja
Mwenyekiti wa hamasa ya timu ya taifa (Taifastars) ambaye pia ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul makonda leo hii amemkabidhi golikipa wa taifastars Juma kasejaahadi aliyoitoa jana ya kumpa kiasi cha shilingi milioni kumi 10 baada ya kuwa nyota wake wa mchezo wa jana uliochezwa dhidi ya burundi.
Comments
Post a Comment