Mechi za michuano ya UEFA champions league hatua ya makundi zimemalizika na tumeshuhudia Mbwana samatta amabae ni mtanzania wa kwanza kushiriki michuano hiyo akifunga goli akiwa na timu yake ya Genk.
Yafuatayo ni matokeo ya mechi zote za michuano hiyo kwa hatua ya makundi
Comments
Post a Comment