Timu bora za UEFA mwaka 2019 Madrid yaongoza
UEFA wametoa list ya timu bora za mpira wa miguu duniani kwa mwaka 2019.
klabu ya Real madrid ikiwa imeshika nafasi ya kwanza ikifuatiwa na Atletico Madrid nafasi ya pili na nafasi ya tatu ikishikwa na Barcelona zote za nchini uhispania.
Huku upande mwingine timu za uingereza zimeongozwa na Manchester city iliyoshika nafasi ya 6 na Liverpool nafasi ya 8.
Huku upande mwingine timu za uingereza zimeongozwa na Manchester city iliyoshika nafasi ya 6 na Liverpool nafasi ya 8.
Angalia picha inayofuata hapa chini kujua timu zote zilizoingia kwenye list ya uefa mwaka huu
Comments
Post a Comment