Ommy dimpoz ashinda tuzo ya msanii bora kutoka Afrika mashariki tuzo za Afrimma
Msanii Ommy Dimpoz amefanikiwa kunyakua tuzo ya msanii bora kiume kutoka Afrika Mashariki, Best Male East Africa kwenye tuzo za Afrimma zilizotolewa Dallas Texas, Marekani usiku wa jana.
Dimpoz amefanikiwa kuwamwaga Alikiba, Nyanshinki, Jux, Harmonize na wengine waliokuwa wanawania kwenye kinyang'anyiro hicho.
Comments
Post a Comment