WEMA SEPETU AFUNGUKA TATIZO LA UZAZI KUTIBIKA

Amesema shida ya kutopata mtoto ilichangiwa kuwa na matatio katika mfumo wa uzazi kitu kilichopelekea kushindwa kubeba ujauzito. 

Wema amesema kwa sasa tatizo hilo limeshatibiwa hivyo chochote kinaweza kuhapeni.

Mshindi huyo wa tuzo ya ulimbwende mwaka 2006, amesema kwa sasa amekuwa, hivyo ameacha kufanya mambo yatakayoichafua heshima yake,huku akidai yupo anapiga dili kwa kuwa balozi kwenye kampuni za ndani na nje ya nchi na anaimani michongo mingi itaendelea kumiminika.

Comments