KIVUKO KIMEZAMA NA KUUA WATU TISA
Mashua iliyokuwa imebeba abiria imezama na kusababisha vifo vya watu tisa kusini mwa nchi ya Nigeria..
Kulingana na vyombo vya haabri nchini humo,mashua hiyo ilikuwa imebeba abiria 140 katika mto wa Benue.
Mashua hiyo imeripotiwa kuzama kutokana na kutokea kwa dhoruba kali.
Kati ya waliopoteza maisha wanne kati yao ni watoto
Inasemekana mashua ilibeba abiria na mizigo kuzidi uwezo wake.
Comments
Post a Comment