WEMA SEPETU KUFUNGUA DUKA LA MAHITAJI YA WATOTO
Baada ya kimya cha muda mrefu mtandaoni, muigizaji wa Filamu nchini, Wema Sepetu amerudi kwa kishindo katika ukurasa wake wa Instagram.
Wema baada ya akaunti yake kudaiwa kudukuliwa, msanii huyo amerejea na kufungua kwa duka lake la Little 'Sweet Hearts'
Pia msanii huyo ameweka wazi ujio wa filamu inayokwenda kwa jina la ' Saa Mbovu' ambayo ameshirikiana na Prince HDV pamoja na Aunt Ezekiel.
Comments
Post a Comment