ALIKIBA AFUNGUKA KUHUSU MKATABA NA TIMU YAKE YA COASTAL UNION


Mchezaji wa Timu ya Coastal Union na Msanii wa Muziki, AliKiba amefunguka kuhusu mkataba wake na timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Soka Tanzania Bara. 

"Mkataba wa Coastal na mimi, Mimi silipwi siichezei kwa pesa nacheza for fun, napenda mpira na vile vile nineweza kutangaza coast, kutangaza zaidi na vilevile Caostal wanatangaza Mo fire , vilevile kuna vitu ambavyo tunasaidiana sisi kama kuendeleza timu ya Coastal iweze kuendelea kufika mbali siwezi kuanika kila kitu mzee baba 

Alikiba amesema yupo mbioni kuanza kuuza jezi  za Coastal Union zenye namba yake (7) na zitakuwa na saini yake pia

Comments