WASANII WANAOWANIA TUZO ZA SOUNDCITY MVP AWARDS
Majina ya wasanii ambao watawania tuzo ya SoundCity MVP Awards 2018 yametangazwa jana katika Website ya www.soundcitymvp.com na huku yakiwemo majina ya Wasanii wakubwa Kwenye muziki barani Africa na Kukiwa na mchuano mkali Kutokana na aina ya kazi ambazo wamekuwa wakizifanya kwa mwaka Huu wote
Katika List hiyo Majina Mbalimbali yametajwa na Wasanii Kutoka Tanzania Wamepenya Kwa Asilimia Kubwa … Wasanii Kama vanessamdee ,mbosso ,harmonize_tz ,mauasama ,navykenzoofficial na diamondplatnumz
Tuzo Hizi zitatolewa tarehe 05 Mwezi wa Kwanza 2019 Katika Ukumbi wa EKO Convention Centre Huko Nchini Nigeria .
NA HIZI NI BAADHI YA CATEGORY AMBAZO MAJINA YA WATANZANIA WANAOWANIA TUZO HIZI WAMETAJWA : 👇
BEST MALE MVP :
Nasty C
Cassper Nyovest
Davido
Wizkid
Burna Boy
#DiamondPlatnumz
Mr. Eazi
Olamide
AKA
#Harmonize
Shatta Wale
BEST FEMALE MVP:
Busiswa
Simi
Niniola
Tiwa Savage
Yemi Alade
Efya
Shekhinah
#MauaSama
Lady Zamar
Becca
BEST POP:
#DiamondPlatnumz
Fally Ipupa
Kizz Daniel
Davido
Mr. Eazi
Wizkid
Yemi Alade
Tiwa Savage
Mayorkun
Kuami Eugene
BEST COLLABORATION :
#Jibebe – WCB ft Diamond Platnumz, Mbosso & LavaLava
#Katika – Navy Kenzo ft Diamond Platnumz
Said – Nasty C & RunTown
Makhe – Dj Maphorisa
Spirit – Kwesta ft Wale
FakeLove – Wizkid
DIGITAL ARTIST OF THE YEAR :
Cassper Nyovest
Tiwa Savage
Yemi ALade
Wizkid
Davido
Mr. Eazi
#VannesaMdee
Falz
Burna Boy
#DiamondPlatnumz
SONG OF THE YEAR
#Katika – Navy Kenzo
#Kwangwaru – Harmonize
#AfricanBeauty – Diamond Platnumz
Short & Sweet – Sauti Sol
Assuarance – Davido
BEST GROUP
#Navy Kenzo
Toofan
Sauti Sol
Distruction Boyz
R2Bees
Mafikizolo
GoldFish
Micasa
Reggie N Bollie
BEST NEW ARTIST
#Mbosso
Kidi
Sho Madjozi
Kwesi Arthur
Odunzi
Teni
Peruzzi
King Promice
BEST PRODUCER
KEL P
DJ TIRA
#NAHREEL
JULZ
SARZ
AFRICAN ARTIST OF THE YEAR
#DiamondPlatnumz
Yemi Alade
Tiwa Savage
Cassper Nyovest
Davido
Wizkid
Olamide
Burna Boy
Nasty C
AKA
Sarkodie
Comments
Post a Comment